Galaxy of Thoughts
Mental journies shuttling between utopia, dystopia and bordering paranoia.
Home
All posts
About
Books
Online Links
Tags
swahili
22
Oct 2020
Ningependa kukupa
Ningependa kukupa Mercedes lakini bado sijapata Bahati
21
Oct 2020
Poleni najaribu kujivunia lugha la swahili
Nimekuwa mwenye mawazo nyingi sana. Nimekuwa nikiandamwa na zimwi la lugha, jinamizi ambalo limekataa kuniwacha kabisa.Swahili lugha ya kupendeza lugha ambayo najivunia kuongea kila saa na kila mahali.